UTURUKI NA URUSI WASAINI MAKUBALIANO YA KIBIASHARA

13:22

Siku ya jana Urusi na Uturuki zilisaini makubaliano ya kibiashara ili kutafuta njia ya pamoja ya kuakabiliana na mgogoro nchini Syria. Ambapo katika mgogoro huo Urusi na Marekani zimekua mstari wa mbele kutoa msaada wa kivita dhidi ya waasi nchini Syria.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »