MTOTO WA KWANZA KUZALIWA AKIWA NA VINASABA(DNA) KUTOKA KWA WAZAZI WATATU

05:32
Hili ni jaribio la kisayansi lililofanywa huko Mexico ili kumsaidia mtoto huyo kutopata maradhi ya kurithi kutoka kwa mama yake ambapo kilichofanyika kilikua ni mitochondria donation.
Mtoto huyo kwa sasa ana umri was miezi mitano.Lakini jaribio limepondwa vikali na wadau na viongozi wa dini mbalimbali wakidai hatua hiyo ni kinyume na matakwa ya Mwenyezi Mungu.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »