MAJINA YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WATAKAOFAIDIKA NA MKOPO YAANZA KUTOLEWA

05:19
Habari kutoka kwenye tovuti mbalimbali za vyuo zimebainisha majina ya wanafunzi watakaofaidika na mkopo was elimu ya juu.
Majina hayo yalianza kutangazwa jana hivyo kuwapa fursa wanafunzi kutazama.Kabla ya hapo mambo yalikua si shwari kutokana na baadhi ya vyuo kuanza kufunguliwa lakini lakini hayo yalikuwa hayajatolewa.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »