Umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) umesema hautampa ushirikiano aliyefutwa uwanachama wa chama cha CUF Prof. Lipumba ambaye bado yupo madarakani kimabavu.
Katika hatua hiyohiyo madiwani wa chama cha CUF nao wametoa msimamo wao wa kutomtambua kwenye chama chao.
Share this
EmoticonEmoticon