JOTO LA MECHI YA LIGI KUU BARA KATI YA MBEYA CITY FC NA SIMBA LAZIDI KUONGEZEKA

04:57
Mechi inayotarajiwa kuna na upinzani mkali ya ligi kuu bara itakayo chezwa kesho jijini kati ya wenyeji mbeya city fc na simba sc mambo yamezidi kupamba moto kutokana na timu zote kuanza vizuri  msimu wa 2016-2017.
Hata hivyo msemaji wa mbeya city fc amesema hawana wasiwasi juu ya hill kwani simba sc hukosa matokeo mazuri kwenye uwanja huo wa sokoine jijini Mbeya..
Pia kesho Yanga sc itaikaribisha Mtibwa sugar kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam na Azam fc itakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Stand utd.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »