FIFA KUONGEZA IDADI YA TIMU SHIRIKI KWENYE KOMBE LA DUNIA Unknown 12:20 Unknown Raisi wa FIFA amesema ana mpango wa kuongeza idadi ya timu shiriki kwenye kombe la dunia.hii ni moja ya ahadi zake alizo zitoa wakati wa kampeni zake kuwania kiti hicho.Hivyo kupelekea idadi ya timu kutoka afrika kuongezeka hadi kufikia nane. Share this Author : Unknown Related Posts
EmoticonEmoticon