Mdahalo kati ya wagombea uraisi nchini Marekani umemalizika alfajiri ya leo huku ukionyesha mvutano mkali kati ya wagombea hao ambao ni
Donald Trump na bi.
Hillary Clinton.katika mdahalo huo wapiga kura walipata fursa ya kuuliza maswali ya papo hapo na kujibiwa na wagombea hao wenye upinzani mkali.
Share this
EmoticonEmoticon