Jeshi la polisi Mkoa wa kipolisi wa Temeke, limewakamata vijana takriban 14 wa kundi lijulikanalo kama TAIFA JIPYA wenye umri wa chini ya miaka 16 wanaojihusisha na matukio ya uporaji kwa kutumia silaha ikiwemo mapanga jijini Dar es salaam.
Chanzo :ITV channel
Kwakweli tunakoelekea ni sehemu mbaya sana indapo hivi vikundi havita angaliwa kwa jicho la tatu, tunashuhudia namna PANYA ROAD wanavyosumbua mitaani, watu wanaporwa vitu, wengine kujeruhiwa, sasa hii ni hatari sana hapo mbeleni. Leo taifa jipya, vijana hadi bendera ya kujitangaza yaonyesha hawana uoga wa Serikali wala mtu yoyote.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon