Ikiwa Simu ya Tecno Phantom 6 Plus bado haijaingia sokoni na licha ya kutajwa kuwa na kutajwa kuwa na betri inayodumu kwa muda mrefu zaidi, kinginge kizuri kutoka kwenye simu hiyo ni uwezo mkubwa kwa upande wa internet. Tecno Phantom 6 Plus imetajwa kuwa na kasi unapoitumia kupata mambo mbalimbali au kutazama video mtandaoni
EmoticonEmoticon