UCHAMBUZI:PRE-MATCH LIVERPOOL VS MAN UTD

16:15

Liverpool hawajashinda katika michezo mingi hivi karibuni dhidi ya Manchester .
United imeshinda  michezo  yake minne katika Ligi Kuu, lakini hali itakua  tofauti katika uwanja wa Anfield wakati huu.
Liverpool wameanza vizuri kwenye msimu huu na kocha wao Jurgen Klopp anastahili pongezi kubwa kwa kuwa huwezi kufikiri wangeweza kufanya vizuri  sana kama timu mwanzoni mwa kampeni ya ubingwa.
Wanacheza hasa jinsi Klopp anavyotaka- tempo yao ni nzuri na kila mmoja anaonekana kuwa juu ya ya kiwango cha kawaida.
upande wa Klopp inaonekana kuna uwiano mzuri. Wao wamekuwa wakicheza kwa kupanda na kushuka na timu.
Wao  wanastahili kuwepo walipo katika msimamo wa ligi hivi sasa .
Mourinho ana historia nzuri katika uwanja wa Anfield.
Mchezo huu ni kigezo kikubwa kwa matarajio ya Liverpool msimu huu kwa sababu, ingawa United fomu ya hivi karibuni imekuwa mchanganyiko, wao wamepata baadhi ya wachezaji wenye vipaji na kumiliki mpira kuwawezesha kushinda mchezo wowote.
Halafu kocha wa Manchester United Jose Mourinho,ana rekodi nzuri katika uwanja wa Anfield.
Kuna kila nafasi upande wake United wanaweza kuwafunga Liverpool kwa sababu alifanya vizuri alipokuwa a Chelsea siku za nyuma.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »