Timu za Yanga sc,Simba sc na Azam fc zinashuka dimbani leo kusaka pointi tatu muhimu ambapo Simba itahitaji kujikita kileleni wakati Yanga na Azam zikitafuta nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi.
Yanga sc itaikarinisha Mtibwa sugar.Azam fc itakua mgeni wa Stand Utd na Simba itakua mgeni wa Mbeya City fc..
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon