PICHA:MAKONDAKTA WAKIOGESHWA NCHINI KENYA

14:00

Makondakta hawa wa daladala wa Kisumu nchini Kenya, waliogeshwa kwa nguvu hadharani huku wadau wakishushudia kwa kile kinachaodaiwa walikuwa wananuka na kuwakosesha raha abiria.

Hata hapa Tanzania makondakta wamekua wachafu mno kuanzia mavazi ambayo ni sare na miili yao binafsi comment nn kifanyike.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »