Real Madrid imeiadhibu Real Betis kwa mabao 6-1 hapo jana kwenye muendelezo was ligi kuu ya Uhispania.
Madrid walikuwa ugenini lakini walitawala kwa kiasi kikubwa huku nyota wake wengi wakifanikiwa kufunga.
Katika mechi hiyo mabao ya Real Madrid yamefungwa na Raphael Varane, Isco aliyetupia mawili, Marcelo, Karim Benzema na Cristiano Ronaldo.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon