AJALI YA UNGO YATOKEA DAR

17:16

Ameanguka na ungo na kufariki.Imetokea jioni hii maeneo ya Kijichi. Hapa maiti ikishushwa katika gari la Polisi kuhifadhiwa hospitali ya Temeke.Chanzo cha ajali hakijajulikana uchunguzi unaendelea.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »